Waziri
Mkuu, Mizengo pinda akisalimiana na Maaskofu wa kanisa la Anglican
nchini wakati alipowasili kwenye kanisa kuu la Anglican la Njombe
kuhudhuria mazishi ya Askofu wa Dayosisi ya South West Tanganyika, , John Andrew Simalenga
Waziri
Mkuu, Mizengo Pindaakitoa heshima za mwisho kwa Askofu John Andrew
Simalenga katika mazishi ya Askofu huyo wa Dayosisi ya South West
Tanganyika ya Kanisa la Anglican lyaliyofanyika Njombe Novemba 28, 2013. Kushoto ni Askofu Mkuu wa kanisa la Anglican nchini, Dr. Jacob Chimeledya
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda na Spika wa Bunge Anne Makinda wakishiriki katika
Ibada ya mazishi ya Askofu wa Kanisa la Anglican Dayosisi ya South West
Tanganyika yaliyofanyika Njombe
Mwili wa Askofu wa Kanisa la Anlican Dayosisi ya Southa west, John Andrew Simalenga ukitelemshwa kaburini kwenye mazishi yaliyofanyika kwenye kanisa kuu la Dayosisi hiyo mjini Njombe
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka mchanga katika kaburi la Askofu wa Dayosisi ya South West Tanganyika ya Kanisa la Anglican, John Andrew Simalenga yaliyofanyika mjini Njombe
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka shada la maua kwenye kaburi la Askofu wa Dayosisi ya South West Tanganyika , John Andrew Simalenga katika mazishi yaliyofanyika leo Njombe |
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika ibada ya mazishi ya Askofu wa Kanisa la
Anglican Dayosisi ya South West Tanganyika , John Andrew Simalenga
yaliyofanyika leo Njombe Novemba 28, 2013.
(Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
0 comments:
Post a Comment