Home » » NENO LA UKARIBISHO KUTOKA KWA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA NJOMBE MJI MH. EDWIN MWANZINGA

NENO LA UKARIBISHO KUTOKA KWA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA NJOMBE MJI MH. EDWIN MWANZINGA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

Mhe.. Edwin Mwanzinga
Mwenyekiti wa Halmashauri
Kwa niaba ya Watumishi na Wananchi wote wa Halmashauri ya Mji Njombe ninayofuraha kubwa  kukukaribisha katika tovuti hii ambako tunaimani kubwa utapata taarifa za kuaminika na shughuli zinazofanyika katika Halmashauri ya Mji Njombe.Kama taasisi ya Serikali tunaamini katika uwazi,ukweli na uwajibikaji kwenye utendaji wetu wa kila siku.
Aidha kwa kutambua umuhimu wa wateja  tunaowahudumia zipo taarifa na fomu mbalimbali ambazo zinakuwezesha kupata huduma moja kwa moja kwenye tovuti.
Hii inahusisha upatikanaji wa leseni za biashara na leseni za vileo na taarifa mbalimbali.Ni matumaini yangu utatumia tovuti hii kupata taarifa muhimu na kwa malalamiko,mapendekezo basi usisite kuwasiliana nasi na kutumia tovuti yetu kutoa malalamiko yako nasi tutakufikia.
Karibu Halmashauri ya Mji Njombe,Mji wenye fursa za maendeleo kwako na kwa Taifa

KARIBU SANA,

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Njombe Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa