Home » » MPIRA WA MIGUU KATI YA KISASATU NA MBALATSE WANOGESHA MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI WILAYA YA MAKETE

MPIRA WA MIGUU KATI YA KISASATU NA MBALATSE WANOGESHA MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI WILAYA YA MAKETE


 Mkuu wa wilaya ya Makete Josephine Matiro (katikati) akiongozana na viongozi wengine wa wilaya ya Makete, mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Makete Daniel Okoka (kushoto) na Katibu wa CCM wilaya ya Makete(kulia) wakielekea uwanjani kukagua timu za mpira wa miguu katika maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani Desemba 2, 2013
Mkuu wa wilaya ya Makete Josephine Matiro akizungumza na mchezaji wa timu ya Kisasatu wakati akikagua timu hizo kabla ya mechi kuanza
 Akiwatakia kila la heri wapate ushindi
 Akiitakia timu ya Mbalatse iibuke kidedea
Mkuu wa wilaya ya Makete Josephine Matiro akizungumza machache kabla ya kutoa kombe kwa mshindi ambaye ni timu ya Kisasatu iliyoifunga timu ya Mbalatse kwa bao 1-0
Mshindi wa kwanza alipewa kombe, mpira mmoja na jezi, na mshindi wa pili alipewa mipira miwili.Zawadi hizo zilitolewa na shirika lisilo la kiserikali la PSI
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA



0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Njombe Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa