Home » » Namna ya kuishi na mtoto mwenye vvu-1

Namna ya kuishi na mtoto mwenye vvu-1

Wiki iliyopita tuliona uchunguzi na matibabu kwa mtoto mwenye virusi vya Ukimwi, leo tunaendelea na mada hiyo na tutaangalia jinsi ya kuishi na mtoto wa mwenye VVU.
Zingatia ushauri na matibabu.
Mzazi au mlezi kupata ushauri nasaha kutoka kwa wataalamu wa afya wenye mafunzo maalumu ya VVU na Ukimwi ni jambo muhimu sana kwani itakufanya ulifahamu tatizo na namna ya kukabiliana nalo. Kupata kwako elimu hiyo kutakusaidia kulinda afya ya mtoto wako.
Kama mtoto mwenye VVU alishaanza matibabu ya dawa za kufubaza makali ya VVU na dawa za kuzuia magonjwa nyemelezi, hakikisha kuwa mtoto anapata dawa bila kukosa kwani dawa hizi hupewa maisha yake yote. Ni muhimu kufuata masharti kwani dawa hizi ndizo zinazomwongezea muda wa kuishi, kadri anavyotumia dawa za ARV kinga ya mwili nayo huongezeka na afya ya mwili huimarika na hivyo kuishi vizuri.
Ushauri nasaha na kufahamu umuhimu wa dawa za ARV na ile hali ya kufuatilia matibabu ya mtoto inakusaidia kumjengea imani na dawa hizo tangu akiwa mtoto mpaka ukubwani.
Kumjenga kitabia mapema kuna faida kubwa kwani humfanya asiache kutumia dawa hata akiwa mkubwa.
Pale unapoona dalili za magonjwa yoyote ni vyema kumwahisha na kumpeleka katika huduma za afya mapema. Kumbuka kinga ni bora kuliko tiba, watoto wenye VVU wapo katika hatari zaidi kushambuliwa na maradhi ukilinganisha na wengine.
Mlo kamili
Mlo kamili huwa na vyakula mchanganyiko yaani wanga, proteini, mafuta, mboga za majani na matunda na unywaji wa maji ya kutosha. Vyakula hivi ndivyo vinavyotupa nguvu na joto, kujenga mwili na kinga ya mwili.
Mlo kamili haimaanishi ule wenye gharama kubwa. Jamii yetu imezungukwa na vyakula vya asili ambavyo hupatikana kwa urahisi mfano mboga za majani kama mchicha, matembele, karoti. Vyakula vya protini kama vile maharage ya soya, kunde, njegere na matunda kama maembe, machungwa, matikiti maji.
Hivyo ni jambo la msingi mzazi au mlezi kulima bustani za mboga na matunda na si vibaya kufuga kuku wa kienyeji kwa ajili ya mayai na nyama.
Mboga mboga, matunda na protini ni muhimu katika ujenzi wa kinga ya mwili ikumbukwe mtoto mwenye VVU ni rahisi kushambuliwa na maradhi kwani kinga inakua dhaifu na umri wake ni mdogo
Mtoto huyu anahitaji kupata mapumziko ya kutosha zaidi ya saa nane kwa siku kwani mapumziko husaidia kinga ya mwili kuimarika, kwa watoto wenye umri wa miaka 2 kuendelea michezo ya kitoto na wenzake humfanya kuwa na mwili imara na kuwa mwenye furaha.
Kumjenga kisaikolojia
Kwanza kabisa mzazi anatakiwa kukubaliana na hali halisi baada ya kuelewa ushauri aliopewa . Ni jukumu lake kumjenga kisaikolojia mtoto wake, mzazi au mlezi anapaswa kumkuza vizuri kwa kumuonyesha upendo na furaha na huna budi kumfanya asijione yuko tofauti.
Pale atakapofikia umri wa kuanza kutambua hali yake ni vizuri akaelimishwa kuhusu mambo mbalimbali yenye tija na afya yake. Akieleweshwa na kutiwa moyo atakubaliana na hali yake pasipo kumpa msongo wa mawazo au kupata sononeko, uwepo wa mambo haya mawili huweza kumfanya asiwe mwenye afya njema.
Chanzo;Mwananchi

2 comments:

Kane Harrison said...

Ukweli i ilijaribiwa HIV + chanya miaka 3 iliyopita. Mimi kuendelea kusimamia madawa ya kulevya i kawaida kununua na huduma za shirika la kuweka mimi afya na kuimarisha , i walijaribu kila i unaweza pia kufanya ugonjwa huu kuniacha peke yake, lakini kwa bahati mbaya ni kuweka juu ya kula me up hii ni nini i unasababishwa yangu, kwa kuruhusu kufanya ngono yangu mkweli kwangu insecurely bila ulinzi, ingawa i kamwe alijua yeye ni virusi vya UKIMWI. Hivyo michache iliyopita siku 4 i alikuja katika kuwasiliana na makala ya kusisimua kwenye mtandao juu ya jinsi hii Nguvu Herb Mganga kupata vizuri yake na kupona. Hivyo kama mgonjwa i anajua matakwa ya hii alichukua maisha yangu siku 1, na i haja ya kuishi na marafiki na jamaa wengine pia. Hivyo i kunakiliwa nje Dk PAUL waganga wa jadi ya kupitia barua pepe: okonofua_solution_tem99@hotmail.com na mimi barua pepe naye mara moja , katika kidogo wakati yeye mail yangu nyuma kwamba i alikuwa kuwakaribisha kwa Hekalu lake nyumbani walikuwa na yote yale i kutafuta kwa ni nafasi . Mimi nilikuwa tafadhali wakati huo. Na i kuendelea naye, alichukua baadhi ya maelezo chache kutoka kwangu na aliniambia kuwa yeye atakuwa kupata nyuma kwa haraka kama yeye ni kupitia kwa kazi yangu. Mimi nilikuwa na furaha sana kusikia kutoka kwake . Hivyo Jana, kama i mara tu kuja kutoka nyumba marafiki zangu , Dk EMEN kuniita kwenda kwa checkup katika hospitali na kuona kazi yake ya ajabu kwamba ni sasa VVU, i ilikuwa furaha sana kusikia kutoka kwake , hivyo i haraka kukimbilia chini ya hospitali karibu na kupatikana nje, tu kusikia kutoka daktari wangu hospitali aitwaye HARRISON kwamba mimi sasa VVU. Mimi kuruka hadi saa yake na mtihani kumbuka, yeye kuuliza jinsi gani kutokea na i kupungua kwa yake yote i akaenda kupitia kwa Dr Paul EMEN sasa niko furaha , hivyo i ni aina ya upole wa mtu kwamba haja ya kushiriki ushahidi huu kila mtu ambaye kutafuta kwa ajili ya uponyaji , kwa sababu mara moja kupata utulivu na utulivu, hivyo ugonjwa kupata kumaliza maisha yako mbali. Hivyo i atakushauri kuwasiliana naye Leo kwa ajili ya uponyaji wako katika maelezo ya hapo juu : Email ID: okonofua_solution_tem99@hotmail.com kuwasiliana naye sasa kuokoa maisha yako kama unataka kuuliza swali lolote email yangu: aminahkadiri@gmail.com i nimefurahi hivyo kujibu yoyote ya mwili katika sanamu zangu rasmi. ndio tena shukrani kwa DR PAUL EMEN kwa kuwa ni nguvu na msaada.

Anonymous said...

Mimi ni Bi Evelyn , i kuishi katika New York (USA).
[ Kusoma hadithi yangu. Juu ya jinsi mimi got yangu UKIMWI kutibiwa ].
Kweli, i ilijaribiwa HIV + 3years chanya mwisho . Mimi kuendelea kusimamia madawa ya kulevya i kawaida kununua na huduma za shirika la kuweka mimi afya na strenghtful , i walijaribu kila i unaweza pia kufanya ugonjwa huu kuniacha peke yake, lakini kwa bahati mbaya, ni kuweka juu ya kula maisha yangu , hii ni nini i unasababishwa mwenyewe, kwa ajili ya kuruhusu mchumba wangu kufanya ngono na mimi unsecurely bila ulinzi, ingawa i kamwe alijua yeye ni virusi vya UKIMWI. 4days hivyo michache iliyopita i alikuja katika kuwasiliana na makala ya kusisimua kwenye mtandao juu ya jinsi hii Nguvu za mitishamba Mganga kupata yake vizuri na kupona. Hivyo kama mgonjwa i anajua matakwa ya hii alichukua maisha yangu siku 1, na i haja ya kuishi na marafiki na jamaa wengine pia. Hivyo i kunakiliwa nje Dk ufumbuzi email id waganga wa jadi ya : freehealthsolutiohomecenter.com , na mimi barua pepe naye mara moja , katika kidogo wakati yeye mail yangu nyuma kwamba i alikuwa kuwakaribisha kwa kituo cha nyumbani kwake wereby yote yale i kutafuta kwa ni nafasi . Mimi nilikuwa tafadhali wakati huo. Na i kuendelea naye, alichukua baadhi ya maelezo chache kutoka kwangu na aliniambia kuwa yeye atakuwa kupata nyuma yangu kwa haraka kama yeye ni kwa njia ya kuandaa dawa yangu. Mimi nilikuwa na furaha sana kama nikasikia kutoka kwake na yeye alinipa dawa ambayo i alichukua kwa ajili ya 3days , hivyo Jana, kama i mara tu kuja kutoka nyumba marafiki zangu , Dk ufumbuzi kuniita kwenda kwa checkup katika hospitali na kuona ajabu yake kazi ambayo kwa sasa ni VVU, i alifurahi sana kusikia kutoka kwake , hivyo i haraka kukimbilia chini ya hospitali karibu na kuangalia ni nje, tu kusikia kutoka daktari wangu hospitali aitwaye Browning Lewis kwamba mimi sasa VVU. Mimi kuruka hadi saa yake na mtihani kumbuka, yeye kuuliza jinsi gani kutokea na i recide kwa yake yote i akaenda kwa njia ya na Dk ufumbuzi. Kwa sasa niko furaha , hivyo i ni aina ya upole wa mtu kwamba haja ya kushiriki ushahidi hii kwa kila mtu ambaye kutafuta uponyaji , kwa sababu mara moja kupata utulivu na utulivu, hivyo ugonjwa kupata kumaliza maisha yako mbali. Hivyo i ushauri yako kuwasiliana naye leo kwa ajili ya uponyaji wako katika maelezo ya hapo juu : Email ID: freehealthsolutionhomecenter@yahoo.com kuwasiliana naye sasa kuokoa maisha yako : freehealthsolutionhomecenter AS yeye ni kuaminika na msaada wote ambao ugonjwa huu ...

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Njombe Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa