Home » » UTENDAJI KAZI WA MBUNGE FILIKUNJOMBE WAWAVUTIA WAPIGA KURA WAAMUA KUMBEBA MGONGONI

UTENDAJI KAZI WA MBUNGE FILIKUNJOMBE WAWAVUTIA WAPIGA KURA WAAMUA KUMBEBA MGONGONI



Wananchi wa kata ya Manda Ludewa wakimfuta jasho mbunge wao Deo Filikunjombe kama kumpongeza kwa utekelezaji mzuri wa ahadi na uwakilishi uliotukuka bungeni
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akiwa amebebwa na mpiga kura wake kama kumpongeza kwa utendaji wake mzuri
Mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe akifurahia baada ya kupongezwa kwa kubebwa mgongoni na mpiga kura wake
Mbunge Filikunjombe kati akipokea zawadi ya mbuzi kutoka kwa mkazi wa manda huku mkewe Habiba akishukuru (picha na Blogu ya Francis Godwin)

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Njombe Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa