Home » » Tingatinga likibomoa majengo makete mjini‏

Tingatinga likibomoa majengo makete mjini‏


 Tingatinga likibomoa huku kulia wakionekana wamiliki wa jengo hilo wakiokota masalia ya vitu wanavyoona vitawafaa kwa badaye
 Masalia ya zoezi la bomoa bomoa yakipakiwa kwenye lori tayari kwenda kumwagwa mbali
 Tingatinga likibomoa kuta za nyumba ambazo zipo kwenye hifadhi ya barabara Makete mjini
Baada ya kumaliza kazi hapa linaondoka kuelekea eneo jingine(picha zote na EDDY BLOG)

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Njombe Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa