Home » » RAIS KIKWETE NAMNA ALIVYOFUNGUA KIWANDA CHA CHAI IKANGA WILAYANI NJOMBE.

RAIS KIKWETE NAMNA ALIVYOFUNGUA KIWANDA CHA CHAI IKANGA WILAYANI NJOMBE.



Rais Jayaka Mrisho Kikwete akikagua sehemu mbalimbali za kiwanda cha chai cha Ikanga wilaya ya Njombe baada ya kukifungua Oktoba 18, 2013

Rais Jayaka Mrisho Kikwete aki furahi na mkurugenzi wa kampuni ya mufindi tea & coffee limited baada ya kufungua kiwanda cha chai cha Ikanga wilaya ya Njombe baada ya kukifungua Oktoba 18, 2013.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua sehemu mbalimbali za kiwanda cha chai cha Ikanga wilaya ya Njombe baada ya kukifungua Oktoba 18, 2013. Rais Jayaka Mrisho Kikwete akihutubia mkutano wa hadhara baada ya kufungua kiwanda cha chai cha Ikanga wilaya ya Njombe baada ya kukifungua Oktoba 18, 2013.

Picha na Ikulu 

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Njombe Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa