Home » » RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AZINDUA RASMI CHUO CHA VETA MAKETE‏

RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AZINDUA RASMI CHUO CHA VETA MAKETE‏


 Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na viongozi wa VETA wakati akiwasili chuo cha VETA Makete kwa ajili ya kukizindua, kushoto kwake ni mkurugenzi wa VETA Tanzania Zebedayo Moshi
 Rais kikwete akikata utepe kuashiria kukifungua chuo cha VETA Makete
 Rais Jakaya kikwete akielekea kujiones shughuli zinazofanywa na VETA Makete katika majengo ya chuo hicho, katikati ni mkurugenzi wa VETA nchini Zebedayo Moshi, kulia ni mkuu wa wilaya ya Makete Josephine Matiro
 Rais jakaya Kikwete akipata maelekezo kutoka kwa mwanafunzi wa veta makete kuhusu namna ya kutengeneza batiki
 Rais jakaya Kikwete akipata maelekezo kutoka kwa mwanafunzi wa veta makete kuhusu namna ya kuweka rangi kwenye batiki
 Mwalimu wa ujenzi chuo cha VETA Makete Mwl. Mathew Komba akitoa maelezo ya shughuli za ujenzi kwa rais Jakaya Kikwete
 Tofali za kisasa zinazotumia udongo na saruji katika kuzitengeneza zilioneksns kuwa kivutio kikubwa kwa rais Jakaya Kikwete.Kulia kwa rais ni mama Salma Kikwete na waziri wa elimu Dk Shukuru Kawambwa
 Rais jakaya Kikwete akipanda mti wa kumbukumbu katika chuo cha VETA Makete
 Mkurugenzi wa VETA nchini Zebedayo Moshi akitoa taarifa ya chuo kwa rais Kikwete
 Waziri wa Elimu Dk Shukuru Kawambwa akizungumzia kuhusu chuo cha VETA Makete
Rais jakaya Kikwete akizungumza na wananchi katika chuo cha VETA Makete
Picha ya pamoja na wanafunzi wa kozi fupi waliohitimu Chuoni hapo
(picha zote na EDDY BLOG)

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Njombe Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa