Watumiaji wa barabara kuu ya
Makete-Njombe eneo la Mang'oto wilayani Makete mkoani Njombe,
hawatausahau usiku wa kuamkia leo Ijumaa baada ya mawasiliano ya
barabara hiyo kukatika kwa masaa zaidi ya12 kutokana na mvua iliyonyesha
eneo hilo lililolundikwa vifusi, huku wengine wakihofiwa kulala eneo
hilo
Mvua hiyo ilisababisha barabara hiyo
kufungwa kwa saa kadhaa kutokana na malori na mabasi ya abiria kukwama
kutokana na eneo hilo kugeuka tope
Tazama
picha za tukio hilo, na habari kamili itakujia muda si mrefu kutoka kwa
mwandishi wetu aliyeko eneo la tukio tangu jana usiku
Lori la kampuni ya pepsi ni mojawapo ya magari yaliyokwama eneo hilo la Mang'oto
Lori la kampuni ya pepsi ni mojawapo ya magari yaliyokwama eneo hilo la Mang'oto
Picha kwa Hisani ya Mtaa kwa Mtaa Blog
0 comments:
Post a Comment