NEWS ALERT TUKIO KATIKA PICHA: WATU WANNE WAMEFARIKI PAPO HAPO BAADA YA KUDONDOKEWA NA KUFUNIKWA NA LORI LA MIZIGO , MTONI ILEMBULA USIKU WA KUAMKIA LEO..

 Watu wanne wamefariki papo hapo Saa kumi usiku leo baada ya kudondokewa na Lori la mizigo , Lililopindukia katika mto njia panda ya kuelekea Ilembula, kutokana na kufunikwa na Lori hilo watu hao wameendelea kuwa chini ya Lori hilo na Kazi ya kuwatoa inaendelea kufanyika sasa.  Lori hilo la mizigo likiwa limedondoka Chini ya Mto njia panda ya Ilembula huku  watu wanne wakiwa wamefunikwa.  Baadhi ya watu wakiwa wanashuhudia tukio la ajali huku wengine wakijipanga jinsi ya kuwaokoa walifunikwa na kifusi.  Baadhi ya mizigo ikiwa imedondoka katika mto  Hivi ndivyo Lori linavyo onekana likiwa limedondoka chini ya mto eneo la njiapanda...

CHADEMA MAKETE WAFANYA UCHAGUZI MKUU KWA MARA YA KWANZA‏

 Jiunge na Huduma ya Tone Mobile News Bure kabisa kupitia Whatsapp yako na uwe wa kwanza kupata kile kinachotokea ni Rahisi sana Ingia katika uwanja wa kuandika ujumbe mfupi wa maneno katika Whatsapp yako kisha andika TONE MOBILE NEWS tuma kwenye namba 0756364660 utapokea ujumbe kuwa umeunganishwa.  Msimamizi wa Uchaguzi Bw. Alfred Kayombo (kulia) akimtangaza mshindi wa nafasi ya mwenyekiti Bw. Ibrahim Ngogo. Kwa mara ya kwanza katika historia, chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Makete mkoani Njombe kimefanya uchaguzi wa uongozi mbalimbali ambapo Bw. Ibrahim Ngogo amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa chama hicho wilaya. Akitangaza ...

SHULE YA SEKONDARI IWAWA WILAYANI MAKETE YATOA SIRI YA KUFANYA VIZURI MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2014‏

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.  Makamu mkuu wa shule ya sekondari Iwawa Fadhili Dononda akizungumza na mwandishi wetu ofisini kwake hii leo.Ikiwa zimepita siku chache tangu kutangazwa matokeo ya kidato cha sita mwaka huu, shule ya sekondari Iwawa iliyoko wilayani Makete mkoani Njombe imetoa siri ya mafanikio ya wanafunzi wake kufaulu na kushika nafasi ya nne kitaifa.    Akizungumza na mwandishi wetu ofisini kwake Makamu mkuu wa shule hiyo Mwl. Fadhili Dononda amesema miongoni mwa sababu hizo ni pamoja na wanafunzi hao kuwa na utayari wa kusoma...

TANZANIA INAVYOSHINDWA KATIKA KISWAHILI KIMATAIFA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.      Wako waandishi na watafiti ambao ni wageni na hupenda zaidi kujifunza Kiswahili. Ukiwauliza kwa nini wanapenda Kiswahili, wanajibu kuwa ni lugha ya pekee isiyobanwa na dhana za kikabila na kieneo, inavuka mipaka ya nchi na kuwa ni ya kimataifa. Mgeni mmojawapo ni Pete Muhunzi (jina la kupanga) ambaye ni Mmarekani mwenye asili ya Afrika. Ni Profesa mstaafu wa historia na anafanya utafiti wa masuala ya lugha katika jamii na hasa Kiswahili. ...

CHADEMA WAMBWAGA MBUNGE CCM

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.  MAHAKAMA ya Wilaya ya Njombe imetupia mbali kesi iliyokuwa ikiwakabili viongozi wa CHADEMA mkoani hapa, ya kutishia kummwagia tindikali Mbunge wa Njombe Kaskazini, Deo Sanga (CCM) maarufu kama Jah People. Sanga ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Njombe, alidai kukumbana na tishio hilo wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani Kata ya Njombe mjini. Akizungumza na waandishi wa habari juzi, mwanasheria wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Malya, alisema kesi hiyo iliyokuwa chini...

RC AHIMIZA UWEKEZAJI CHUMBA CHA MAITI

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.    MKUU wa Mkoa (RC) wa Njombe, Kapteni Mstaafu, Assery Msangi, amekaribisha watu binafsi, mashirika na taasisi yoyote kujitokeza kusaidia ujenzi wa chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Mkoa ya Kibena kutokana na kilichopo kuwa katika hali mbaya hivi sasa. Kapteni Msangi, aliyasema hayo wakati akikabidhiwa msaada wa taa maalumu mbili za kufanyia upasuaji kwenye chumba cha upasuaji cha hospitali hiyo iliyopo mjini hapa, uliotolewa na Shirika la Hifadhi...

WAKULI MAMBOGA ZA MAJANI WAHIMIZWA KUTUMIA MBOLEA ASILI

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.  Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Christopher Chiza,   Wakulima wa mboga za majani wamehimizwa kutumia mbolea za asili, ambazo mbali na kutumika kama kitoweo, pia hutibu na kukinga maradhi mbalimbali. Mtakwimu wa Masuala ya Kilimo wa Taasisi ya Wanawake Wajasiriamali (Resewo), Joyce Urassa, alisema miongoni mwa changamoto kubwa kwa wakulima wa mboga na matunda ni jinsi ya kukabiliana na wadudu waharibifu. Alisema hayo katika semina ya uchambuzi wa ripoti juu ya sera za kilimo barani Afrika na madhara yake...

WAZIRI WA MAZINGIRA DKT. BINILITH MAHENGE AKANUSHA KUTUMIA FACEBOOK YENYE JINA LAKE

Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa rais Mazingira Dkt Binilith Mahenge amewataka wananchi kupuuza taarifa zozote zinazotolewa kwa jina lake kupitia mtandao wa facebook kwa kuwa yeye hatumii mtandao huo.  Waziri Mahenge ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Makete mkoani Njombe ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na mwandishi wetu wilayani hapo na kusema kumekuwa na baadhi ya watu wanaoitumia mitandao hiyo vibaya kwa kufungua akaunti yenye jina lake ilihali yeye hajawahi kujiunga na facebook na hana mpango huo.  Amesema kwa kuwa yeye ni kiongozi mkubwa wa serikali wapo watu wanaoziamini taarifa mbalimbali zinazotolewa kupitia mtandao huo...

MTOTO AFARIKI BAADA YA NYUMBA KUTEKETEA KWA MOTO,POLISI AMRAGHAI MWANAFUNZI ALIYE ACHIWA NYUMBA NA KULALANAE KWAKE.

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.  Wananchi wa Mlangali  Ludewa  wakiwa  wamekizingira  kituo cha polisi Mlangali  mara baada ya  kuipeleka maiti ya mtoto aliyeteketea kwa  moto katika  kituo hicho Wananchi  Mlangali  Ludewa  wakiwa  wamekizingira kituoa  cha polisi cha Mlangali jana Kitanda ambacho mtoto  huyo alikuwa amelala Dirisha  likiwa limevunjwa ili  kuutoa mwili wamtoto aliyeungua kwa moto Wananchi  wakitazama chumba  alichokuwa amelala mtoto  huyo aliyeteketea...
 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Njombe Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa