Home » » NAIBU KATIBU MKUU(CCM-BARA)MH;MWIGULU NCHEMBA, AKUTANA NA WAZEE WA CCM WILAYA YA NJOMBE

NAIBU KATIBU MKUU(CCM-BARA)MH;MWIGULU NCHEMBA, AKUTANA NA WAZEE WA CCM WILAYA YA NJOMBE


Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Mh;MWigulu Nchemba akiwasili Ofisi za CCM Mkoa wa Njombe mapema hii leo asubuhi kusiani Kitabu na Kukutana na Wazee wa Chama Cha Cha Mapinduzi Wilaya ya Njombe(M).
 Mh;Mwigulu Nchemba akiteta mambo mbalimbali na Wazee wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Njombe hii leo.Pia Mh;Mwigulu amepokea Salamu za Wazee Mkoa wa Njombe zililzotolewa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa Mh;Jah People (Japipo) za Kuteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Fedha ikiwa ni ishara ya Wazi kabisa kuwa Rais anaimani na Utendaji kazi wake na ni mwadilifu vya kutosha ndio maana akapewa Wizara Nyeti ya Fedha.

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Njombe Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa