Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Kama tulivyoona katika sehemu ya kwanza, kuna kasoro kwenye
mchakato wa Katiba Mpya unaondelea nchini lakini Tume ya jaji Warioba,
hususan Rasimu, ina uhalali mkubwa zaidi wa kisheria na hata wa kisiasa.
Kuhitimisha, ni hili la ushirikiano uliotolewa kwa
Tume ya Warioba na taasisi za kikatiba na kiserikali. Taarifa rasmi za
tume zinathibitisha kuwa kati ya taasisi tajwa zilizotoa maoni yao kwa
Tume na kwa maandishi, ni Bunge la Jamhuri, Baraza la Wawakilishi, Ofisi
ya Makamu wa Rais, Ofisi...
`JAMII FICHUENI MTANDAO WA UFADHILI MAUAJI ALBINO`
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mwenyekiti Mtendaji wa IPP, Dk. Reginald Mengi
Maaskofu na mamia ya wanawake kutoka mikoa
mbalimbali nchini wanaohudhuria kongamano la maombi katika mji mdogo wa
Makambako mkoani Njombe, wameitaka jamii nchini kusaidia kuufichua
mtandao wa wafanyabiashara wanaofadhili wauaji wa watu wenye ulemavu wa
ngozi (albino).
Kauli ya Maaskofu na wanamaombi hao imekuja siku mbili tangu Mwenyekiti
Mtendaji wa IPP, Dk. Reginald Mengi, kuelezea masikitiko yake juu ya
vitendo viovu wanaofanyiwa watu wenye ulemavu wa...
MTOTO WA KITANZANIA ASHINDA INSHA SADC
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
WATOTO wa Kitanzania kutoka shule za kawaida na zile za kata, wameendelea kuipa nchi heshima kimataifa, kwa kuongoza katika mashindano ya kitaaluma.
Jana mwanafunzi wa Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari Naboti iliyopo Makambako mkoani Njombe, Neema Mtwanga (16), aliibuka mshindi wa kwanza miongoni mwa washindani 39 katika Shindano la Utunzi wa Insha, lililoandaliwa na Jumuiya ya Maendeleo ya kusini mwa Afrika (SADC).
Huo ni ushindi wa pili kwa watoto wa Kitanzania kimataifa, baada ya Peter Kilave, ambaye alikuwa mwanafunzi wa kidato...
WAMAHIAJI HARAMU 21 WAKAMATWA NJOMBE WAKIPENYA KWENDA NCHI ZA KUSINI MWA TANZANIA
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Hawa ni raia wa Ephiopia ambao walikamatwa Makambako Njombe jana
hapa wakipata chai baada ya kukamatwa
Hivi ndivyo walivyokuwa wakiishi katika lori hilo
Hili ndilo lori lililokuwa likiwasafirisha na dereva wake kukimbia
Ofisa uhamiaji Njombe akiwapa chai wahamiaji hao
Chanzo francis Godwin Bl...
WAKULIMA WAHAMASISHWA KUUNDA VIKUNDI
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
KITUO
maalumu cha uendelezaji kilimo Ukanda wa Kusini mwa Tanzania (SAGCOT)
kimetoa wito kwa wakulima wadogo kuungana kwa kuunda vikundi vidogo ili
kuirahisishia Serikali kuwafikishia huduma muhimu za pembejeo na mikopo
katika kuinua sekta hiyo hapa nchini.
Wito huo ulitolewa jana
na Ofisa Mtendaji Mkuu wa kituo hicho, Geoffrey Kirenga, wakati
akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mada alizotarajia
kuziwasilisha kwenye mkutano wa wadau wa Umoja wa Watendaji Wakuu wa
Kampuni (CEOrt).
"Mkiungana pamoja
inakuwa rahisi...
WANAFUNZI WA SEKONDARI YA WASICHANA MAKETE WATAKIWA KUWA MFANO BORA KIELIMU NA KITABIA
Wanafunzi wakimsikiliza mkuu wa wilaya ya Makete Mh Josephine Matiro
Mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro akizungumza na wanafunzi wa Makete Girls Sekondari (hawapo Pichani)
Maktaba ya shule hiyo.
Mkuu wa wilaya ya Makete Josephine Matiro akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi na walimu wa shule hiyo.
Mkuu
wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro (wa tatu kushoto) akiwa na
walimu wa shule hiyo, wa kwanza kulia ni Afisa Taaluma sekondari wilaya
hiyo.
===
Wanafunzi
wa kike wanaosoma katika shule pekee ya wasichana iitwayo Makete girls
secondary School iliyopo wilayani Makete mkoani Njombe wametakiwa
kuzingatia masomo...
Wakulima Waneemeka na Elimu ya uzalishaji wa Mboga Mboga kutoka TAHA
Mh.
Dr. Christine Ishengoma Mkuu wa Mkoa wa Iringa akipokea taarifa kuhusu
mfumo wa taarifa za masoko kutoka TAHA unavyofanya kazi zake kutoka kwa
Cyrila Antony Afisa wa Masoko
Mkuu
wa mkoa wa Iringa Mh. Dr. Christine Ishengoma akisikiliza maelezo
kutoka kwa Mtaalamu wa kilimo wa TAHA Bw Ringo kuhusu uzalishaji wa zao
la nyanya
Elimu ikiendelea kutolewa
Vitalu na green houses
Aina Mbalimbali za matunda ambazo zimezalishwa na wakulima kutokana na elimu Bora waliyo ipata kutoka TAHA
Mwananchi akipata maelezo kutoka kwa Mtaalamu wa TAHA
Teknolojia ya umwagiliaji kwa mfumo wa kilimo cha matone ambao pia...