Katibu
wa chama cha waandishi wa habari mkoa wa Njombe Hamis Kassapa akipokea
cheti cha kushiriki mafunzo yaliyotolewa na baraza la habari Tanzania
MCT kwa waandishi wa habari wa mkoa huo jana Juni 19, 2014
Mtangazaji
Veronica Mtauka wa redio Kitulo FM ya wilayani Makete mkoani Njombe
akipokea kwa furaha cheti chake kama mshiriki wa mafunzo hayo
Mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari mkoa wa Njombe Mercy James akikabidhiwa cheti
chake
Meneja wa kitucha redio Uplands Fm, Novatus Lyaruu akipokea cheti chake kama mshiriki wa mafunzo hayo
Mafunzo
hayo yaliandaliwa na baraza la habari Tanzania (MCT) kwa kushirikiana
na chama cha waandishi wa habari mkoa wa Njombe (NPC) yenye lengo la
kuwasaidia waandishi hao kuandika habari kwa kufuata weledi wa taaluma
hiyoPICHA ZOTE NA EDWIN MOSHI
0 comments:
Post a Comment