Deo Sanga ambaye ni Mbunge na Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM mkoa wa Njombe akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Njombe.
Aliyekuwa mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Njombe, Adam
Ismail Msigwa (pichani) ambaye alijukana kwa jina maarufu kama
'Shilingi ni Vita' amefariki nyumbani katika
Mitaa wa Kwivaha Njombe mjini na mazishi yalifanyika katika kijiji cha lisitu.
Mkuu wa mkoa wa Njombe Cept. mstaafu Aseri Msangi (kushoto ) wa pili ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe Bw Saitabau na wa mwisho (kulia) ni Kamanda wa polisi mkoa SACP Ngonyani.
"MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU PEMA PEPONI"
'AMINA'
PICHA...
WAAJIRI WATAKIWA KULINDA AFYA ZA WAFANYAKAZI
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
SERIKALI
imewataka waajiri wote kuhakikisha wanaanzisha mifumo bora mahali pa
kazi itakayohakikisha wafanyakazi wao wana usalama na wenye afya bora. Alisema
suala hilo si jambo la hiari kwani linagusa uhai na maisha ya
watu.Akizungumza kwenye maadhimisho ya siku ya afya na usalama mahali pa
kazi Duniani, Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, aliwataka
waajiri wasikwepe wala kuogopa gharama katika hilo. "Zingatieni kuwa hakuna kitu chenye thamani kuzidi uhai na maisha ya watu," alisema. Alisema
takwimu za Shirika la Afya Duniani (ILO) zinaonesha kuwa Kila mwaka
duniani...
Wezi waiba miundombinu ya soko la Ngiu Makete

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Katika hali ya kushangaza na kusikitisha, wezi wasiofahamika wameiba baadhi ya miundombinu ya soko la Ngiu wilayani Makete mkoani Njombe licha ya soko hilo kuwa na mlinzi.
Mwandishi wa blog hii ambaye amefika eneo la tukio mara baada ya kupenyezewa taarifa hizi na wananchi, ameshuhudia baadhi ya miundombinu haipo ikiwemo mifuniko yote ya chuma inayofunikia masinki ya vyoo, pamoja na mabomba ya kutiririshia maji ya mvua
Taarifa kamili na picha zote za tukio hilo zitakujia baadaye kidogo.
Muonekano wa soko la Ngiu lililopo...
MAONI:RIPOTI YA CAG HAITOI MATUMAINI YOYOTE
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)
ya mwaka wa fedha wa 2012/13 imefichua madudu ya ajabu, ambayo bila
shaka yatakuwa yameondoa matumaini ya wananchi ya kukua kwa uchumi na
kuwaondolea umaskini uliokithiri. Ripoti za CAG za miaka ya fedha
iliyopita zilikuwa pia zinafichua madudu ya kutisha, lakini baada ya
Serikali kuahidi kwamba ingeepuka kurudia madudu hayo na kuzifanyia kazi
changamoto nyingi zilizokuwa zikiibuliwa na ripoti mbalimbali za CAG,
wananchi wengi walipata matumaini.
Inasikitisha kwamba ripoti hiyo iliyotolewa
ufafanuzi na CAG mwenyewe, Ludovick Utouh juzi, imeonyesha dhahiri ...
VETA MAKETE WATEMBELEA WATOTO YATIMA NA KUTOA MISAADA MBALIMBALI
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Wafanyakazi wa VETA Makete wakiwa katika picha na watoto yatima wa kituo cha Bulongwa.
Mfanyakazi wa VETA Makete akiwa amembeba mtoto yatima anayelelewa kituoni hapo
Sanga akiwa amembeba mtoto yatima anayelelewa katika kituo cha Bulongwa
Wakifurahia pamoja na watoto hao kwa kuimba nyombo.
Wakiwa katika picha ya pamoja nje ya kituo hicho.
Methew Komba akiwa amembeba mtoto yatima
watoto wakifurahia kutembelewa na wafanyakazi wa VETA Makete.
Hapa...
USHIRIKIANO KATI YA EPZA,KOREA KUIMARISHWA ZAIDI
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
SERIKALI
ya Tanzania kupitia Mamlaka ya U kanda Maalumu wa Uwekezaji nchini
(EPZA), inatarajia kuanza kupata wawekezaji wengi kutoka Jamhuri ya
Korea Kusini kwa faida ya nchi zote mbili.Matarajio hayo yanatokana
na ziara iliyofanywa hivi karibuni na wawekezaji katika mamlaka hiyo na
kujionea maeneo maalumu ya uwekezaji na fursa zinazopatikana katika
maeneo hayo. Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa
na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo, Dkt. Adelhelm Meru, hatua hiyo ni
muhimu kwa nchi hizo mbili katika kuimarisha uchumi na uwekezaji
endelevu.Ujumbe huo ulijumuisha wafanyabiashara wakubwa kutoka kampuni 22 za...