Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
SANTINA MAPILE (27) mkazi wa Njombe namba yake ya
ushiriki ni MS 20 ni mfugaji na anafuga nguruwe.
ANADHANI YEYE NI MFANO WA KUIGWA: Kwa sababu
amewahi kupata mafunzo ya ujasiriamali na akabahatika kupata mkopo na kurejesha
kwa wakati. Anasema "Nina shamba lenye ukubwa wa ekari
1.5. Kwa mwaka ninavuna mazao gunia 15"
NEEMA GILBERT UHAGILE (28) mkazi wa Njombe namba
yake ya ushiriki ni MS 19 ni mkulima na mfugaji ana ekari 2 anazolima mahindi,
maharagwe na maparachichi na anafuga kuku na ng’ombe.
ANADHANI...
HERI YA SIKU YAKO YA KUZALIWA BLOGGER EDWIN MOSHI

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Wadau, "Nakushukuru mwenyezi MUNGU kwa kunifikisha siku hii ya leo Alhamisi Aprili 24 ambapo naadhimisha siku ya kuzaliwa, ni kwa neema yako tu mimi kufika hapa nilipo, nakuomba unisaidie kwa kila kitu katika maisha yangu nizidi kukutumikia vyema".
Nawashukuru wanalibeneke wenzangu wote, pamoja na ndugu, jamaa na marafiki kwa kuniunga mkono katika siku hii muhimu kwangu, Asanteni Sana
Edwin Moshi,
C.E.O...
MVUA ZAZIDI KUHARIBU MIUNDOMBINU YA BARABARA MAKETE
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Kutokana
na mvua zinazoendelea kunyesha wilayani Makete mkoani Njombe, baadhi ya
barabara zimeharibika vibaya na kusababisha kero kwa watumiaji wa
barabara hizo.
Pichani
ni hali ya barabara ya Tanesco iliyopo Makete mjini inavyoonekana ikiwa
imejaa mashimo na tope kwa wingi, huku vifusi vya kuikarabati vikiwa
vimelundikwa pembeni na kazi ya kuikarabati kushindwa kufanyika kutokana
na mvua nyingi zinazonyesha wilayani hapo.(Picha na Edwin Moshi)
...
ISAACK CHEYO:MIVUTANO HAITALISAIDIA KUNDI LOLOTE KUSHINDA VITA YA KATIBA
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, amesema kwamba
mivutano inayoendelea katika bunge hilo haitasaidia kundi lolote kwa
sababu hapatakuwapo na mshindi.
Mjumbe huyo kutoka kundi la 201, Isaack Cheyo, amesema kwamba
kinachotakiwa kufanyika ni pande zote zinazovutana kukaa chini na
kutafuta maridhiano.
Jumatano jioni wiki hii, wajumbe kutoka Umoja wa Katiba ya Wananchi
(Ukawa) pamoja na wajumbe wengine 25 wa kuteuliwa kutoka kundi...
RC NJOMBE ATAKA HALMASHAURI KUUNDA SHERIA KWA WANAFUNZI WASIWASILI SEKONDARI
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Normal
0
false
false
false
EN-US
X-NONE
X-NONE
/* Style Definitions */
table.MsoNormalTable
{mso-style-name:"Table Normal";
...
TUKIO LA KUSIKITISHA: MZEE WA MIAKA 60 AUAWA KINYAMA KWA TUHUMA ZA USHIRIKINA WILAYANI MAKETE
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
TUNAOMBA RADHI KWA PICHA
Daktari Luvanda kutoka hospitali ya wilaya ya Makete akionesha majeraha ya kichwa cha mwili wa marehemu yanayohisiwa kupelekea kifo chake.
Mwili wa marehemu baada ya kuondolewa eneo la tukio.
Polisi kutoka kituo cha Tandala na Makete wilayani wakichukua taarifa za mauaji hayo kwenye shamba ulipokutwa mwili wa marehemu.
Askari akizungumza na wananchi waliofika eneo la tukio na kuwaonya kuacha tabia ya kujichukulia sheria mikononi pamoja na kushirikiana na jeshi hilo kuwapata watuhumiwa...
MATUKIO KATIKA PICHA WAKATI WA MAADHIMISHO YA WIKI YA ELIMU MKOA WA NJOMBE
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Baadhi ya wanafunzi wa shule zilizopo mkoa wa Njombe wakifurahia maadhimisho ya wiki ya elimu yaliyofanyika kimkoa katika wilaya ya Makete Aprili 11, 2014.
Mkuu wa wilaya ya Makete Mhe. Josephine Matiro akizungumza katika maadhimisho hayo yaliyofanyika kimkoa katika wilaya yake.
Mkuu wa mkoa wa Njombe kapteni mstaafu Aseri Msangi (Katikati) akipata maelezo kutoka kwa mwalimu aliyetunga vitabu kama njia mojawapo ya kuinua elimu mkoani humo, wa kwanza kushoto ni mkuu wa wilaya ya makete Mh. Josephine Matiro na anayefuata na afisa elimu...
MAADHIMISHO YA WIKI YA ELIMU MKOA WA NJOMBE YAFANA, MKUU WA MKOA ATILIA MKAZO SUALA LA ELIMU
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mkuu
wa mkoa wa Njombe Kapteni mstaafu Aseri Msangi akihutubia mamia ya
wananchi waliofurika viwanja vya mabehewani wilayani Makete mkoani
Njombe katika maadhimisho ya wiki ya elimu kimkoa.(Picha/habari na Edwin Moshi, Makete)
Licha
ya serikali kuendelea kutatua changamoto lukuki katika sekta ya elimu
nchini, wadau wa elimu mkoani Njombe wametakiwa kuwajibika kila mmoja
kwa nafasi yake, ili kuinua kiwango cha elimu mkoani humo kwa kuwa ni
agizo la serikali hasa katika mkakati wa matokeo makubwa sasa (BRN)Mkuu
wa mkoa...
SERIKALI YASIFU MCHANGO WA SHULE BINAFSI NCHINI
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Profesa Sifuni Mchome.
Serikali imesifu mchango unaotolewa na shule za
msingi na sekondari binafsi katika kukuza kiwango cha elimu nchini na
imeahidi kuwa nao bega kwa bega katika kutekeleza mpango wa Matokeo
Makubwa Sasa katika elimu.
Hayo yalisemwa mwishoni mwa wiki na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na
Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome, wakati akifungua mkutano wa
Taasisi ya Wamiliki wa Shule na Vyuo Binafsi (Tamongsco) Kanda ya Dar es
Salaam.
Alisema...