Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Kutokana na idadi kubwa
ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza kila mwaka mkoani
Njombe kutowasili ili kuendelea na masomo mkuu wa mkoa wa
Njombe Capten Msaafu Aseri Msangi ameshauri halmashauri
nchini kuunda sheria ndogo zitakazoweza kuwabana wanafunzi
pamoja na wazazi wao ili kuwapeleka watoto wao shule.
Akiongea mara baada ya kupokea taarifa ya matokeo makubwa sasa BRN kwenye sekta ya elimu ya msingi na sekondari katika halmashauri ya wilaya ya Njombe akiwa kwenye ziara ya siku tatu mkuu huyo wa mkoa ameshauri kuundwa kwa sheria ambayo itawabana mzazi na mtoto ili sekta ya elimu iweze kusonga mbele kwa kufikia malengo ya kusomesha watoto wote wanaochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza ikiwa kwa asilimia 21 katika halmashauri iyo bado hawajaripoti.
Amesema kuwa kutokana na shule nyingi kuwa na upungufu wa madawati hasa katika shule alizoweza kutembelea katika kata Mtwango na Igongolo aliwataka viongozi wa kata kuhakikisha tatizo hilo linatatuliwa mara moja huku akiahidi kuchangia madawati kumi ya darasa la awali katika shule ya msingi Ilunda 'B' na kusititiza kutolifanyia mzaha suala la elimu.
Wakiwasilisha taarifa ya elimu makaimu afisa elimu wa sekondari na shule ya msingi walisema sekta hiyo imejipanga kuhakikisha madai yote ya walimu yaliyondani uwezo wake zikiwemo posho, fedha za uhamisho na likizo wanazilipa mpaka kufikia mwezi june mwaka huu watakuwa wamemaliza.
Katika hatua nyingine mkuu huyo wa mkoa Njombe alishauri wananchi

kulima kilimo kwa kufuata kanuni mbalimbali kutoka kwa wataalamu
ili kunufaika na kilimo hicho ikiwa pamoja na kilimo cha mahindi
kwa kutumia mbolea ya Minjingu Mazao.
Akiongea mara baada ya kukagua shamba darasa la zao mahindi katika kijiji cha Itipingi ikiwa ni sehemu ya miradi ya matokeo makubwa sasa amesema, Kuwa wakulima wengi wamekuwa wakishindwa kupata manufaa kwenye kilimo chao kutokana na kutokufuata taratibu katika kilimo hicho.

0 comments:
Post a Comment