Home » » WAFAHAMU MAMA SHUJAA WA CHAKULA KUTOKA MKOA WA NJOMBE ANAYETARAJIA KUINGIA KIJIJI CHA MAISHA PLUS SIKU YA JUMAPILI WIKI HII!

WAFAHAMU MAMA SHUJAA WA CHAKULA KUTOKA MKOA WA NJOMBE ANAYETARAJIA KUINGIA KIJIJI CHA MAISHA PLUS SIKU YA JUMAPILI WIKI HII!

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

SANTINA MAPILE (27) mkazi wa Njombe namba yake ya ushiriki ni MS 20 ni mfugaji na anafuga nguruwe.

ANADHANI YEYE NI MFANO WA KUIGWA: Kwa sababu amewahi kupata mafunzo ya ujasiriamali na akabahatika kupata mkopo na kurejesha kwa wakati. Anasema "Nina shamba lenye ukubwa wa ekari 1.5. Kwa mwaka ninavuna mazao gunia 15"
















NEEMA GILBERT UHAGILE (28) mkazi wa Njombe namba yake ya ushiriki ni MS 19 ni mkulima na mfugaji ana ekari 2 anazolima mahindi, maharagwe na maparachichi na anafuga kuku na ng’ombe.



ANADHANI YEYE NI MFANO WA KUIGWA: Kwa sababu anapenda kazi ya kilimo  na ufugaji na pia anajiamini katika kazi yake. Anasema "Nina shamba lenye ukubwa wa ekari 2. Kwa mwaka ninavuna mazao gunia 10 na ninapata mayai trei 200"

MAISHA PLUS/MAMA SHUJAA WA CHAKULA

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Njombe Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa