Sara Dumba kuzikwa kesho

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.  Imeandikwa na Halima Mlacha Sara Dumba enzi za uhai wake MKUU wa Wilaya ya Njombe, Sara Dumba aliyefariki ghafla juzi jioni, anatarajiwa kufanyiwa ibada leo mjini Njombe na kuagwa rasmi na wananchi wa wilaya hiyo na Mkoa wa Njombe na baadaye jioni kusafirishwa kuja jijini Dar es Salaam ambako ndiko atakapozikwa. Kwa mujibu wa Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe, Jackson Saikadau, ratiba ya awali...

Vyama vya ushirika Hufa kutokana na madeni makubwa

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.  ...

WANAWAWAKE KUMILIKI ARDHI BADO NI NDOTO MAKETE MKOANI NJOMBE

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. Hii  ni Ofisi ya afisa Mtendaji Kata ya Iwawa, Kituo cha wakulima Na Blogs za Mikoa Tanzania Mila potofu zinazokandamiza wanawake zimeripotiwa kuendelea kushamiri katika baadhi ya mambo baada ya kutembelea katika maeneo tofauti tofauti ya wilaya ya Makete mkoani Njombe na kuzungumza na wakazi wa wilaya hiyo Katika kijiji cha Iwawa wilaya ya Makete mkoani Njombe mwananchi aliyejitambulisha kwa jina la Jane Sanga amesema wanawake wengi wilayani hapo hawamiliki ardhi kutokana na mila potofu kuwa wamiliki wa ardhi ni wanaume pekee "Kwa...
 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Njombe Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa