WAKAZI MAKETE WATAKIWA KUIUNGA MKONO SRIKALI.

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. MKUU wa Wilaya ya Makete mkoani Njombe, Daud Yassin amewaambia wananchi wa wilaya hiyo kwamba Uchaguzi Mkuu umekwisha na sasa kilichobaki ni wananchi na viongozi wa ngazi zote kuiunga mkono kwa dhati Serikali inayotekeleza Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), chini ya Rais John Magufuli. Yassin alitoa kauli hiyo juzi wakati akizungumza na wananchi katika Kata ya Iwawa wilayani humo na kuwataka kumpa ushirikiano kwa pamoja, ili kutekeleza ilani hiyo pamoja na kuijenga Makete yao. “Uchaguzi Mkuu umekwisha na sasa kilichobaki ni kwetu sote kuiunga mkono Serikali inayoongozwa na Rais Magufuli ili kutekeleza ilani yake, kusaidiana naye katika kutimiza yote...

KILIMO CHA CHAI MKOA WA NJOMBE

Picha kwa Hisani ya E...

JUST IN: BASI LA LUWINZO LAPATA AJALI BAADA YA KUGONGA LORI NA KUSABABISHA VIFO VYA WATU KADHAA NJOMBE.

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.   Baadhi ya Abiri na Wasamalia wema wakisaidia kuwaokoa baadhi ya abria waliokuwa wamenasa ndani ya basi hilo.  Baadhi ya abiria wakiwa kwenye masikitiko makubwa.  Kazi ya kuokoa baadhi ya abiria ikiendelea   Namna basi hilo lilivyogonga Lori kwa nyuma. Chumba cha habari cha GLOBU ya Jamii kimepata taarifa kuwa Basi la abiria  la kampuni ya Luwinzo (ambalo namba zake za usajili hazijafahimika mapema),lifanyalo safari zake Dar-Njombe inaelezwa kuwa limepata ajali asubuhi hii likitokea Njombe...
 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Njombe Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa