Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Aliyekuwa Mbunge wa Ludewa kwa tiketi ya CCM, Deogratias Filikunjombe, enzi za uhai wake akipanda chopa yake.
Nakupenda Deo
Nimesikitishwa sana na kifo chako. Kweli kifo kipo na kila mmoja wetu atakipitia lakini cha aina hii, cha kijana aliyekuwa akipigania watu wake kiasi hiki? Kinaumiza sana, hata hivyo, hatuna budi zaidi ya kukubali kuwa Deo Filikunjombe, jembe la mkono limeondoka.
Chopa iliyosababsha kifo cha Filikunjombe, Capt. William Silaa na watu wengine wawili.
Nasema kutoka ndani ya moyo wangu, taifa limepoteza mtu...
MCHUNGAJI MTIKILA AZIKWA ,FILIKUNJOMBE JAJI MUTUNGI WATOA YA MOYONI HELKOPTA YA FILIKUNJOMBE YAWA KIVUTIO

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Ludewa Bw Stanley Kolimba akiweka shada la maua katika kaburi ya mwenyekiti wa DP mchungaji Mtikila leo
Viongozi wa kitaifa wa DP na mkoa wa Iringa na Njombe wakiwa katika kaburi la Mtikila
Mmiliki wa mtandao huu wa matukiodaima Bw Francis Godwin wa pili kushoto akimhoji Live kupitia radio Country Fm naibu katibu mkuu wa DP Taifa Bw Abduli Mluya juu ya kifo cha Mtikila
Wananchi wa kijiji cha Milo Ludewa wakitazama Chopa aliyotumia...