Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mkuu
wa Mkoa wa Njombe Mh. Dk. Rehema Nchimbi akifungua kikao kazi cha
biashara ya kilimo kwa kongani ya Ihemi iliyoandaliwa na SAGCOT
(Southern Agricultural Growth Corridor of Tanzania) kwa ushirikiano na
UONGOZI Institute (Taasisi ya Uongozi Afrika kwa Maendeleo Endelevu)
mapema leo Iringa mjini. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya
Kilimo wa TCCIA Bi. Magadalena Mkocha, Mwenyikiti wa Bodi ya
Agricultural Council of Tanzania Dk. Sinare Y. Sinare, DC wa Iringa Mh.
Angeline Mabula, DC wa Mufindi Mh. Mboni Mhita na Katibu...
FILIKUNJOMBE AKABIDHI MSAADA WA TSH MILIONI 40 KIJIJI CHA MAVANGA ASEMA CCM SI MBAYA WABAYA WATU
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akiwhutubia wakazi wa kijiji cha Mavanga wilayani Ludewa muda mfupi baada ya kukabidhi msaada wa vitu mbali mbali vya ujenzi vyenye thamani ya Tsh milioni 40 katika kijiji hicho
Viongozi wa kijiji cha Mavanga akiwemo mwenyekiti wa kijiji Bw Hilmar Mpambichaka ( Chadema )kulia wakipokea misaada ya vifaa vya ujenzi toka...