Baadhi ya wanavicoba wa Halmashauri ya mji wa Makambako mkoani Njombe wakiwa katika maandamano siku yauzinduzi wa Vicoba.
Baadhi ya wanavicoba wa Halmashauri ya mji wa Makambako mkoani Njombe wakiwa na mabango katika maandamano siku ya uzinduzi wa Vicoba.
Raisi wa Vicoba Tanzania Devotha Likokora (katikati) akiwa na kushoto ni makamu wake Scholastika Kevela wakiongoza maandamano siku ya uzinduzi wa Vicoba Makambako Njombe.
Raisi wa Vicoba Tanzania Devotha Likokora akionesha mkasi juu kama ishara ya kutaka kukata utepe wa uzinduzi wa Vicoba Makambako Njombe.
Burudani...