
MFUKO WA PENSHENI KWA WATUMISHI WA UMMA (PSPF)
MAUZO YA NYUMBA ZA PSPF Mfuko
unapenda kuwataarifu wananchi wote kwamba inauza nyumba zilizojengwa na
Mfuko katika mikoa ya Dar es Salaam- Ilala (Buyuni), Morogoro (Lukobe),
Tabora (Usule), Mtwara (Mang’amba) na Shinyanga (Ibadakuli). Bei ya
nyumba ni kati ya Tsh 59,000,000.00 hadi Tsh 80,000,000.00 (Bila ya
VAT) kulingana na ukubwa wa nyumba na Mkoa nyumba ilipo. Ukubwa wa
nyumba ni kuanzia vyumba viwili hadi vinne. Fomu zinapatikana kwa
gharama ya shilingi elfu tano (TShs. 5,000/=) kwenye ofisi za Mfuko
zilizopo mikoa yote nchini.Waombaji wanaohitaji kuona na kukagua nyumba wawasiliane...