Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda apokea mitambo ya kisasa ya kutengenezea barabara na miundombinu mingine kwa ajili ya Halmashauri ya Mji wa Njombe

Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akipokea mfano wa Ufunguo kutoka kwa Mkurugenzi wa kamapuni ya GF Trucks & Equipment Ltd ya jijini Dar es Dar es Salam Bw. Imran Karmali baada ya makabidhiano ya Mitambo ya Kisasa ya kutengeneza Barabara na miundombinu kwa ajili ya Halmashauri ya Mji wa Njombe. Mitambo hiyo imenunuliwa kwa gharama ya Tsh. Million 700 kwa makubaliano maalum ya mkopo nafuu usiokuwa na riba. Kulia ni Mwenyekiti wa Kampuni ya GF Trucks & Equipment Ltd Mehboob Karmali na aliye kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji wa Njombe George Mkindo.Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akijaribu mojawapo ya mitambo hiyo mara baada ya kukabidhiwa...

SEMINA YA SIKU YA MAWASILIANO NA HABARI JAMII DUNIANI YAFANA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA MANYUNYU MKOANI NJOMBE

 Viongozi wa TCRA ,Walimu na wanafunzi wakielekea ukumbini katika sherehe hizo  Wadau Mbali mbali wakisikiliza wakati Semina hiyo inaendelea jana Kaimu Meneja wa mawasiliano Kanda Ndugu Asajile akiwafundisha wanafunzi umuhimu wa vifaa mbali mbali vya Digital  Wanafunzi wa Shule ya Manyunyu Mkoani Njombe wakimsikiliza kwa makini Mgeni Rasmi   Wanafunzi wa Shule ya Manyunyu Mkoani Njombe wakionesha vipaji vyao katika sherehe hizo   Shule ya Sekondari ya wasichana Manyunyu wakikabidhiwa Tv ya kisasa yenye inch 32 LCD Baadhi ya zawadi walizo kabithiwa shule ya wasichana ya Manyunyu Mkoani Njombe  Mgeni Rasmi akimkabidhi zawadi...

WASICHANA WA SHULE YA SEKONDARI MANYUNYU NJOMBE WAFAIDIKA NA SEMINA YA KUTUMIA KOPYUTA NA UMUHIMU WA MFUMO WA DIGITAL

Wasichana wa shule ya sekondari ya wasichana manyunyu mkoani njombe wakimsikiliza mwana sayansi wa masafa Peter Kihogo kutoka mamlaka ya mawasiliano kanda ya nyanda za juu kusini Mwanasayansi wa masafa Peter Kihogo akiendelea kuwaelimisha wasichana wa shule ya sekondari manyunyu juu ya umuhimu wa mawasiliano na faida zake katika masomo na shughuli mbalimbali za kila siku katika jamii Katibu muhtasi mamlaka ya mawasiliano kanda ya nyanda za juu kusini Frida Msese akipeana ushauri na wasichana wa shule ya sekondari manyunyu Wanafuzi wakiwa makini kumsikiliza mwanasayansi wa masafa Mkuu wa shule ya ya sekondari manyunyu  Adolphina Katembo akiwashukuru...

MWANAMKE ASWAKWA KWA KUTOROSHA MTOTO NA FEDHA TSH.MILIONI 15 MAKAMBAKO NJOMBE

Mwanamke Queen Daniel Chonya (26) anayedaiwa kumtorosha mtoto na kukimbia na kiasi cha shilingi milioni 15 za mumewe Mtoto anayedaiwa kutoroshwa Mwanamke mkazi wa mji wa Makambako wilaya ya Njombe mkoa wa Njombe Queen Daniel Chonya (pichana juu) anatafutwa na mume wake mfanyabiashara wa mji wa Makambako Timoth Mbuma kwa tuhuma za kumtorosha mtoto pamoja na kukimbia na kiasi cha fedha kiasi cha shilingi milioni 15. Akizungumza na mtandao huu wa http://www.francisgodwin.blogspot.com/ mfanyabiashara huyo Bw Mbuma amesema kuwa mwanamke huyo ametoroka na mtoto wa kiume mwenye mwaka mmoja na miezi mitano anayeitwa Given au Juniour na kuwa mwanamke huyo mkazi...
 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Njombe Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa