Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Christopher Ole Sendeka akiongea na wataalamu wa Jukwaa la haki jinai nchini ambao walioongozwa na Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Prof Sifuni Mchome walipoanza ziara ya kutembelea magereza na vituo vya polisi mkoani humo.
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Amina Masenza akiwakaribisha ofisini kwake wataalamu wa Jukwaa la
haki jinai nchini ambao walioongozwa na Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Prof Sifuni Mchome mjini Iringa walipoanza ziara...
TAMASHA LA TIGO FIESTA LAACHA GUMZO MKOANI NJOMBE

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Wasanii wa kizazi kipya wa kundi la Rostam wakiwa kwenye staili ya aina yake kwenye jukwaa la tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa sabasaba mjini Njombe usiku wa kuamkia jumamosi.
Msanii Ommy Dimpoz akitoa burudani kwenye jukwaa la tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa sabasaba mjini Njombe usiku wa kuamkia jumamosi.
Aslay akiimba kwa hisia mapema wiki iliyopita katika jukwaa la Tigo Fiesta Mkoani Njombe
Wasanii Jux, Nandy, Ben Pol na Maua Sama walipanda pamoja na kuimba nyimbo...
NENO LA UKARIBISHO KUTOKA KWA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA NJOMBE MJI MH. EDWIN MWANZINGA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mhe.. Edwin Mwanzinga
Mwenyekiti wa Halmashauri
Kwa niaba ya Watumishi na Wananchi wote
wa Halmashauri ya Mji Njombe ninayofuraha kubwa kukukaribisha katika
tovuti hii ambako tunaimani kubwa utapata taarifa za kuaminika na
shughuli zinazofanyika katika Halmashauri ya Mji Njombe.Kama taasisi ya
Serikali tunaamini katika uwazi,ukweli na uwajibikaji kwenye utendaji
wetu wa kila siku.
Aidha kwa kutambua umuhimu wa wateja
tunaowahudumia zipo taarifa na fomu mbalimbali ambazo zinakuwezesha...