
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
WATU wengi husema kwamba mnyama huyu ana sura nzuri; hata hivyo wengine husema kwamba ana sura ya ajabu. Ana miguu myembamba, manyoya laini, na macho makubwa yanayong’aa. Pia, ana urefu wa sentimita 12.5 na uzito wa gramu 114. Ni mnyama gani huyo? Anaitwa tarsier!
Acheni tumchunguze tarsier wa Ufilipino. Kwa sababu ana mwili mdogo sana—macho yake, masikio, mikono, miguu na mkia huonekana mikubwa sana. Hata hivyo, ukimchunguza kwa makini utagundua jinsi alivyoumbwa kwa njia ya pekee sana.
UWEZO WA KUSIKIA: Masikio yake membamba...