
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Bweni la Wasichana la shule ya sekondari Itamba iliyopo
katika tarafa ya Matamba wilayani Makete mkoani Njombe leo limeteketea kwa moto
ambao chanzo chake bado hakijafahamika.
...