Ni nadra kusikia mwanamume akilalamika kuwa amepigwa na mke au
mwenza wake. Suala hilo ni adimu zaidi katika nchi za Afrika hasa zilizo
Kusini mwa Jangwa la Sahara ambazo zimefunikwa na blanketi la mfumo
dume.
Kutokana na kile kinachodaiwa kuwa ni woga, aibu
na kasumba ya mfumo dume, wanaume wanaonyanyaswa wamekuwa wakificha aibu
hiyo na kuendelea kubaki katika unyanyasaji huo.
Kutokana na ongezeko la matukio ya wanaume
kunyanyaswa na wake au wenza, Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania,
(Tawla) kimetoa wito kwa wanaume kujitokeza ili kupata msaada wa
kisheria pindi wanaponyanyaswa.
...
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI, KITAIFA MKOANI NJOMBE

Mguu sawa.....
Baadhi
ya wandamani wakipita mbele ya jukwaa kuu na mabango yenye ujumbe
mbalimbali kuhusu siku ya Ukimwi Duniani wakati wa sherehe hizo
zilizofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Sabasaba Mkoani Njombe jana.
Wandamani
wakipita mbele ya jukwaa kuu na mabango yenye ujumbe mbalimbali kuhusu
siku ya Ukimwi Duniani wakati wa sherehe hizo zilizofanyika Kitaifa
katika Uwanja wa Sabasaba Mkoani Njombe Jana
wandamani
wakipita mbele ya jukwaa kuu na mabango yenye ujumbe mbalimbali kuhusu
siku ya Ukimwi Duniani wakati wa sherehe hizo zilizofanyika Kitaifa
katika Uwanja wa Sabasaba Mkoani Njombe...