Jeshi
la polisi mkoani Njombe limeamua kuchukua uamuzi mgumu wa kuwafukuza
kazi askari polisi wake watatu kwa makosa mbalimbali waliyoyafanya
ikiwemo vitendo vibaya kinyume na sheria za jeshi hilo
Kwa
mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa mtandao huu na kamanda wa polisi mkoa
wa Njombe SACP Fulgence Ngonyani (pichani) askari hao waliofukuzwa kazi
ni EX.G. 3172 PC Ramadhani Iddi Saidi, EX.G. 9693 PC Emmanuel Morson
Lyimo pamoja na EX.G. PC Miraji Jumanne Mtea
Kamanda
Ngonyani amesema Jeshi la polisi...
NGOMBE WA MILIONI 400/- WAPOTEA NARCO
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mwenyekiti wa PAC,Deo Filikunjombe.
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imesema Shirika la Ranchi za Taifa (Narco), halistahili kupewa Sh. bilioni 17 walizoomba serikalini kutokana na kushindwa kusimamia uendeshaji na upotevu wa ng’ombe 376 katika Ranchi ya Ruvu mkoani Pwani.
Mwenyekiti wa PAC, Deo Filikunjombe, jana alitoa maelekezo ya kamati kwa viongozi wa Narco na Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, baada ya kuwahoji juu ya taarifa ya ukaguzi maalum iliyofanywa na Mdhibiti na Mkaguzi...
USAFI POLISI WAPONZA CHADEMA
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Nyanda za Juu Kusini, Alatanga Nyagawa
Jeshi la Polisi mkoa wa Njombe juzi liliwashikilia kwa saa tatu wafuasi na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wilaya ya Njombe kwa tuhuma za kuingia kwa jinai kwenye kambi yake.
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Nyanda za Juu Kusini, Alatanga Nyagawa, alidai kuwa viongozi na wafuasi hao walitiwa mbaroni baada ya kuingia kwenye kambi hiyo kwa lengo la kufanya usafi kwenye makazi ya askari na kituo cha polisi ikiwa ni...
SERIKALI YAOMBWA KUWEZESHA ASASI NDOGO
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
WAJAS IRIA MALI zaidi 191 katika Halmashauri ya Mji wa Makambako wamepatiwa mafunzo ya nadharia na vitendo yakutengeneza bidhaa mbalimbali.
Mafunzo hayo yametolewa kwa muda wasiku sita namkufunzi kutoka mkoani Morogoro Elisante Kazimoto ambaye alisema,kwa kipindi cha mwaka 2013/14 ameshatoa mafunzo kwa wajasiriamali wasiopungua 680, katika Mkoa wa Njombe.
Akizungumzia kuhusu mafunzo alis emakuwa nimuhimu kwa wajasiriamali kwani ni kati ya kazi ambazo zinaweza kuwa kwamua na kuondokana naum askini.
Alisema kuwa mafunzo hayo yalihusu utenge nezaji wabatiki, sabuni zamche na zamaji,zakuoshea sakafu,mishumaa ,mapishi ya vyakula mbalimbali,pia wamejifunza kutotolesha...
BRN IMEWAJALI WANAFUNZI, SI WALIMU- CWT NJOMBE
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT) wilayani Njombe mkoani Njombe kimeitaka serikali kufanya tafiti za kutosha katika miradi yake ukiwemo wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), wakidai unawazidishia mzigo wa kuwajibika bila kuongezwa ujira.
Pia chama hicho kimeitaka Serikali kusitisha biashara huria ya vitabu vya kiada kutokana na kukinzana kwa baadhi ya vipengele hivyo; kusababisha ugumu katika ufundishaji.
Katibu wa CWT wilayani humo, Bi. Salama Lupenza, aliyasema hayo mwishoni mwa wiki katika risala yake aliyoisoma Siku ya Walimu Duniani iliyofanyika mjini Makambako.
Alisema kama Serikali itashindwa kudhibiti hali hiyo iwe inahariri vitabu hivyo na kuvigonga mihuri ili...