‘WANAUME MNAOPIGWA NA WAKE ZENU JITOKEZENI’

   Ni nadra kusikia mwanamume akilalamika kuwa amepigwa na mke au mwenza wake. Suala hilo ni adimu zaidi katika nchi za Afrika hasa zilizo Kusini mwa Jangwa la Sahara ambazo zimefunikwa na blanketi la mfumo dume. Kutokana na kile kinachodaiwa kuwa ni woga, aibu na kasumba ya mfumo dume, wanaume wanaonyanyaswa wamekuwa wakificha aibu hiyo na kuendelea kubaki katika unyanyasaji huo. Kutokana na ongezeko la matukio ya wanaume kunyanyaswa na wake au wenza, Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania, (Tawla) kimetoa wito kwa wanaume kujitokeza ili kupata msaada wa kisheria pindi wanaponyanyaswa. ...

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI, KITAIFA MKOANI NJOMBE

  Mguu sawa.....  Baadhi ya wandamani wakipita mbele ya jukwaa kuu na mabango yenye ujumbe mbalimbali kuhusu siku ya Ukimwi Duniani wakati wa sherehe hizo zilizofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Sabasaba Mkoani Njombe  jana.   Wandamani wakipita mbele ya jukwaa kuu na mabango yenye ujumbe mbalimbali kuhusu siku ya Ukimwi Duniani wakati wa sherehe hizo zilizofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Sabasaba Mkoani Njombe Jana    wandamani wakipita mbele ya jukwaa kuu na mabango yenye ujumbe mbalimbali kuhusu siku ya Ukimwi Duniani wakati wa sherehe hizo zilizofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Sabasaba Mkoani Njombe...

KAMPUNI YA MABATI YA ALAF YATOA MSAADA WA MABATI KWA AJILI YA UJENZI WA MAABARA ZA SHULE ZA SEKONDARI WILAYA YA MBEYA.

 Meneja wa Kampuni ya ALAF Tawi la Mbeya, Greyson Mwakasege akitoa taarifa kwa Mkuu wa Wilaya ya Mbeya kabla ya kumkabidhi msaada wa mabati 384 kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa maabara.  Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Dk. Norman Sigallah King, akitoa shukrani kwa kampuni ya ALAF  kwa kujitolea mabati kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa maabara kwa shule za sekondari za Wilaya ya Mbeya.   Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Dk. Norman Sigallah King na Meneja wa ALAF tawi la Mbeya, Greyson Mwakasege wakikabidhiana mabati 284 kwa ajili ya ujenzi wa maabara katika shule za sekondari za Kata.  Mkuu wa Wilaya ya Mbeya,...

SOMA HAPA-NANI ANACHEZESHA NGOMA YA ESCROW NA IPTL?

Kwa muda sasa kumekuwapo na tuhuma zinazohusu "wizi" wa fedha za akaunti ya escrow iliyofunguliwa katika Benki Kuu ya Tanzania mwaka 2006. Akaunti hiyo ilifunguliwa kwa ajili ya kuhifadhi fedha zilizokuwa zikilipwa na Shirika la Umeme Tanzania {TANESCO} kwa kampuni ya kufua umeme ya IPTL. Chimbuko la akaunti hiyo ni mgogoro wa tozo hiyo kwamba iligubikwa na utata baada ya kudaiwa kwamba Tanesco ilikuwa ikitozwa fedha nyingi kuliko inavyostahili.             Tuhuma za huo "wizi" hata hivyo hazikuishia tu kwa wahusika wakuu yaani makampuni ya umeme, bali zimetiririshwa hadi kwa watu binafsi ambao kimsingi hawana uhusiano wowote na mgogoro huo wa malipo na wala kuhusika kwa njia yoyote na hicho kinachodaiwa kwamba ni uporaji wa fedha za...

WANASHERIA MWANZA WAIFAGILIA WINDHOEK WASEMA NI BORA KWA AFYA

 Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea, Fr James Rugemalira akizungumza katika hafla fupi iliyowashirikisha baadhi ya wanasheria wa jiji la Mwanza kujadili bia za windhoek pamoja na maendeleo ya jiji hilo. Halfa hiyo ilikwenda sanjari na kila mgeni mualikwa kuchangia mada.  Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea, Fr James Rugemalira (katikati), akizungumza katika hafla hiyo. Kulia ni Mmiliki wa  The Joint Pub iliyopo Isamilo jijini Mwanza.  Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea, Fr James Rugemalira (kulia), akisisitiza jambo  katika hafla hiyo. Kulia ni Mmiliki wa  The Joint Pub, iliyopo Isamilo jijini Mwanza. (Imeandaliwa...

MWANZA WAIKUBALI WINDHOEK WAFURAHIA MPANGO WA KIWANDA CHA MABIBO BIA WA KUJENGA KIWANDA

Chupa za Windhoek zinavyoonekana.  Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea, Fr James Rugemalira akizungumza na wadau na wanahabari wa jiji la Mwanza wakati wa Promosheni ya Bia za Windhoek iliyofanyika leo usiku katika Hoteli ya Villa Park Resort jijini humo.  Mshauri Mkuu wa Fr James Rugemalira, Aniki Kashasha akizungumza na wadau wa jiji la Mwanza pamoja na wanahabari kuhusu bia za windhoek Lager na Windhoek Draught.   Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea, Fr James Rugemalira (katikati), akiwa amekaa na viongozi mbalimbali meza kuu. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni inayosambaza Gas ya Oryx jijini Mwanza ya Top Kihanja Co...
 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Njombe Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa