
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akizindua shina la wakereketwa wa CCM la Melizine mjini Njombe wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa Chama mkoani Njombe.Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akihutubia mkutano wa hadahara katika kijiji cha Mlangali, Wilayani Ludewa mkoani Njombe, akiwa katika ziara ya kuimarisha uhai wa Chama na kukagua miradi ya maendeleo mkoani humo, jana.Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akicharaza ngoma wakati wa mapokezi yake katika kijiji cha Mlangali mkoani Njombe.Mama aliyebeba mtoto wakishangilia kwa furaha wakati wa uzinduzi wa tawi la wakereketwa wa CCM la Liwigi, Ludewa mkoani Njombe...