Home » » CHEKI POMBE AINA YA ULANZI ILIVYO "DILI" NJOMBE

CHEKI POMBE AINA YA ULANZI ILIVYO "DILI" NJOMBE


Ulanzi ukiandaliwa
Miti inayotengeneza pombe aina ya ulanzi ikiwa imestawi mashambani wilayani Makete
Mingine tayari imeshavunwa
Hii ndiyo michache iliyobakia baada ya kuvuna ulanzi
Hapa ulanzi ukipelekwa majini tayari kabisa kuwafikia watumiaji.Ulanzi ni moja ya bidhaa inayotegemewa sana na wananchi wengi wa mikoa ya nyanda za juu kusini ikiwemo Njombe kwa ajili ya kuwapatia kipato

CHANZO EDDY MO BLAZE BLOG

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Njombe Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa