Home » » NAMBA YA MPESA NA AKAUNTI ZA KUMSAIDIA MTOTO ALIYETELEKEZWA NA WAZAZI BAADA YA KUUNGUA MOTO, TUNAOMBA RADHI KWA PICHA ZA MAJERAHA YA MOTO YA MTOTO HUYO

NAMBA YA MPESA NA AKAUNTI ZA KUMSAIDIA MTOTO ALIYETELEKEZWA NA WAZAZI BAADA YA KUUNGUA MOTO, TUNAOMBA RADHI KWA PICHA ZA MAJERAHA YA MOTO YA MTOTO HUYO


Festus Pangani, Njombe Yetu
Mtoto Juliana Mwinuka wa kijiji cha Mbugani kata ya Mavanga wilayani Ludewa Mkoani Njombe, anaomba msaada kwa wadau mbalimbali ili kumsaidia kupata matibabu baada ya kuungua moto na hali yake ni mbaya sana.
Mtoto huyo ambaye kwa sasa anaishi na bibi yake ambaye hana uwezo, baada ya baba mzazi kumtelekeza mara tu baada ya kupatwa na mkasa huo miaka miwili iliyopita.
Juliana ameishi katika maumivu hayo kwa miaka miwili na hana mtu wa kumsaidia kufanikisha matibabu yake.

account ni 6012300170 na kwa M-PESA ni 0755 008038
Blogzamikoa

0 comments:

Post a Comment

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Njombe Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa